BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Sasa ni wazi kuwa kunakila dalili kuwa penzi la kati ya Mtangazaji wa Redio, Diva na mwanamziki, King Crazy GK limefikia tamati.

Penzi la wawili hawa lilinogeshwa na mbwebwe za mwanadada Diva  huko mtandaoni kwa kwakutupia picha kadhaa akiwa na mpenziwe na kujiita Mrs GK.

Hali sasa imekuwa tofauti, kwani kwanza kabisa kwenye ukursa wake mtandaoni amefuta picha zote za GK na hivi sasa hataki tena watu wamzungumiz GK kwenye page yake.

Hebu icheki hii,

"Mapenzi hayana Mwenyewe.. Unaweza Penda Kijana Au Mzee .. sitaki story za Gk in this Post guys Pls' lets jus live in the moment. It's Diva's world .. lets jus live enit...welcome to My World.
Anyways btw none of those rules applied" -DIVA
Hajaishia hapo...siku za hivi karibuni amekuwa kijirekodi video fupi fupi na kuzitupia mtandaoni akiwa ana ji "show off" kuwa amamvuto  huku akijitikisa maeneo ya kati, vitendo ambayo wataalamu wa mambo ya saikolojia wanasema hufanywa na maranyingi na wadada ambao wamevulugwa kwa kutemwa kwenye mapenzi.

Tuendelee kusubiri, itafahamika.