
“Non-Stop Mixx hii nimeipa jina la "WASHAWASHA NON-STOP MIXX" sababu ni moja kati ya style & skillz zangu ninazotumia katika KuDj ili kuleta Ladha nzuri kwa msikilizaji wangu,Si unajua mtu akiguswa na yale majani ya WashaWasha inavyokua?.But hii ni WashaWasha ya Shangwe za burudani bora zaidi kutoka kwangu.” Amesema D Ommy kwenye maelezo yake.
Ameeleza kuwa jina la project hiyo limebuniwa na Jabir Saleh aka Kuvichaka, mtangazaji wa vipindi vya The Jump Off na Bongo Dot Home vya 100.5 Times Fm.
Enjoy!