Izzo Business azungumzia kauli ya DuduBaya kuhusu wasanii wa Hip Hop Tanzania kutokujielewa
Artist kutoka jijini Mbeya anaewakilisha vilivyo anga la Hip Hop Izzo B amefunguka kuhusiana na issue ya Dudubaya kusema wasanii wa Hip hop Tanzania hawajielewi,
Akizungumza katika kipindi cha Zenj Fm radio kupitia kipindi cha Ze crush Izzo B alisema.