Ni ukweli usiopingika kua ukiamua kutaja watangazaji wa kike ambao walikua wana pendwa sana na vijana na usipomtaja Dj Fetty basi watu wengi wangekupinga. Baada ya kufanya kazi hiyo kwa miaka mingi hatimae mwanadada huyo aliamua kuacha kazi ya UDj na utangazaji na kuamua kuanzisha duka lake la nguo ambalo ndio kazi yake kubwa anayofanya kwa sasa.
Baada ya kuondoka Dj Fetty na kuiacha Clouds Fm ikiwa na uhaba wa Dj wa kike hatimae Clouds walimpata Dj Sinyorita, mwanadada mrembo na mchapakazi ukiachilia mbali kipaji kikubwa cha Udj. Kwa mda mchache saana amejizolea mashabiki wengi sana. Naileta kwenu video ya mwanadada huyu ambayo unaweza itazama hapa chini...