BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPWXJ9yi0XILc7xUXyOUT9TRujjaItZV3VjK6uldQtae18Zz42_Qflfemh3Efw0n4A-0T24tzLgreSH4ShwiKORiKHTy-1YtXiPI-2kePUETnZGJ_QVPppPaMQOn43M9MH1MZW8qKK0w8/s1600/NAYYY.jpgNay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.

Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na sanamu iliyo sebuleni kwake ambayo bila ubishi ni sanamu ambayo hutumika kuwatambulisha Freemason. Katika video hiyo ameonekana Nay akiwa na mtoto wao huku sanamu hiyo ikiwa kama moja ya pambo sebuleni hapo. Jioneee video hiyo hapa chini...