BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/03/Majy.jpgKwa sasa sio siri tena kua Lulu msanii kutoka Bongomovies anatoka kimapenzi na Majay msimamizi wa EFM Radio ya Dar. Kwa mara ya kwanza wawili hao waliweka uhusiano wa wazi wakiwa nchini Nigeria ambako Lulu siku hiyo alishinda tuzo moja.

Baada ya kurudi Bongo penzi lao lilikua la kificho ila siku za karibuni wameonekana kwenye viwanja vya starehe wakiwa pamoja. Na hapa juzi tu Lulu na penzi wake huyo walihudhuria harusi wakiwa kama couple na Lulu hakuficha jambo hilo kwani aliupload video ikiwaonyesha wakiwa pamoja huku wakionekana wanapendana sana. Unaweza tazama video ya wawili hao hapa chini......