Pamoja na kua Masanja mkandamizaji kwa sasa ameegemea sana katika kazi yake mpya ya uchungaji ila ni dhahiri kua bado hataacha kuvunja mbavu zetu. Masanja ni mmoja kati ya wasanii wachache kabisa wenye mafanikio makubwa sana hapa Bongo.

Juzi Masanja akiwa katika gari yake Aina ya BMW X6 ambayo kwa bongo wanayo wasanii wawili tu yani Masanja na Diamond Platnumz aliamua kutupa kichekesho kikali. Masanja akiwa anaendesha gari yake hiyo alikutana na mdada huyo na mambo yalikua kama utavyoona katika video hii....
 
Top