http://www.capitalfm.co.ke/lifestyle/files/2015/11/KOROGA-FESTIVAL-PRESS-CON-ALIKIBA-NAIROBI-NOV-2015-5-1024x683.jpgKwa sasa ukianza kuzungumzia moja kati ya ngoma inayotamba kwenye muziki wa BongoFlava huwezi acha kuitaja ngoma ya Ali Kiba aliyomshirikisha Mi kutoka Nigeria. Mda mchache tu baada ya video ya ngoma hiyo kuachiwa ilikubalika sana na mashabiki wa ndani na nje ya bongo.

Japo watu wengi walibaki na maswali wakijiuliza ni kwa nini Rapper MI hakuonekana kwenye video ya wimbo huo. Katika Interview aliyofanya kiba siku cache zilizopita amefunguka mambo mengi sana ambayo tulikua hatuyajui. Je wajua kua wimbo huo ulivujishwa Nigeria?? Je wajua sababu ya MI kukosa katika video hiyo?? Basai mskie Kiba mwenyewe akifunguka hapa ......

 
Top