Mkazi
wa Mikocheni na mpenzi wa kinywaji cha Tusker Bw. Gaspar Makongoro (38)
(katikati) akizungumza na mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli
Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) wakati wa promosheni ya Tusker
Fanyakweli Kiwanjani katika viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza
jijini Dar es salaam katika promosheni ya Tusker fanya kweli kiwanjani .Anaeangalia (kulia) ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi.
Msimamizi wa Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Sinza na Mwenge Anitha Moshi akimvalisha
fulana mkazi wa Changanyikeni Honest Oscar kwenye hafla ya kuzipongeza
baa 7 zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa pamoja ziliibuka baa za wiki
kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika katika
viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam. Baa hizo
ni Amigos, Massawe, Dagaa dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub.
Mkazi wa Sinza Bw. Nasib Ngoya (kulia) akionyesha zawadi yake ya mfuko wenye fulana aliopewa katika hafla ya kuzipongeza
baa 7 zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa pamoja ziliibuka baa za
wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika katika
viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam. (Katikati)
ni Mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa Kampeni ya Tusker
Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash na Anaeshuhudia (kushoto) ni Meneja
mipango na Matukio-SBL Lulu Mduma.
Mpenzi
wa kinywaji cha Tusker na mkazi wa Sinza Rosemary John (Kulia)
akifurahi kwa pamoja na Meneja Mipango na matukio-SBL Lulu Mduma
(kushoto) baada ya kukabidhiwa zawadi ya fulana kwenye promosheni ya
Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo ilifunga kambi katika viwanja vya
sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam kusherekea ushindi wa
baa zaidi ya sita zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa pamoja ziliibuka
washindi wa wiki wa promosheni hiyo inayoendeshwa na bia ya Tusker. Baa hizo ni Amigos, Massawe, Dagaa dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub.