BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Mpenzi wa kinywaji cha Tusker na mkazi wa Baracuda Tabata Rehema Jumbe (katikati) akipokea zawadi yake ya Mfuko wenye fulana sambamba na bia za bure toka kwa Balozi wa kinywaji hicho Veronica Mbilinyi (Kushoto) katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda ya Tabata jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Bi. Rehema aliimwagia sifa bia hiyo kuwa ni laini na haichoshi.
Mkazi wa Tabata Magengeni, Gerald William (36) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (Kushoto) katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. (Kulia) mshereheshaji wa kampeni hiyo Gadner Habash. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na Morogoro.
Dj wa redio Efm, anayefahamika kwa jina la Dj Con akifungua burudani ya muziki ndani ya baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na Morogoro.
Mpenzi wa bia ya Tusker Salima Ally akifurahia zawadi yake ya fulana aliyopokea toka kwa mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash wakati kampeni hiyo ilipofunga kambi katika baa ya Check point Chanika kuipongeza baa hiyo  iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye shindano la Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja wao.