Tundu Lissu amesema leo bungeni dodoma kuwa,Filamu za Ponografia siyo
kosa la jinai dunia nzima isipokuwa ni mambo ya wakubwa,Na akaomba
kifungu hicho kifutwe.
Kumbukeni lissu amesisitiza kwa watoto ndio kosa si kwa watu wazima.
Next time watakuja na muswada ku-control kila kinachofanyika bedrooms.
Nakupe 5 Lissu