Habari  Mpya  toka  kenya  zinaarifu  kuwa,Watu 500 wameokolewa huku 147 wakiuawa wakiwemo wapiganaji  wote  wa kundi la Al shabaab  waliokuwa  wamevamia.

Kwa  mujibu  wa  kituo  cha  Televisheni  cha K24  cha  nchini  Kenya, majeshi  ya  KDF  Yakisaidiana  na  Polisi  yamefanikwa  kuwaua  magaidi  wote  na  kuchukua  udhitibi  wa  chuo  hicho.

Mapigano  Hayo  Yamechukua  Masaa  14 Kukamilika.
 
Top