Picha,Wasanii kumi na tatu waliofanya Diamond Platnumz atamani kufanya muziki. 8:19 AM burudani A+ A- Print Email Msanii Diamond Platnumz ametaja wasanii waliomfanya atamani kuwa msanii na mwanamuziki. Walichukua nafasi kubwa kwenye ndoto zake.