Blogger Mmoja Maarufu Amemshukia na Kumshauri Diamond Kuhusu Kusafiri na
Kundi kubwa la watu wasiokuwa na Ulazima Pale anapoenda kufanya show
ama kustarehe ..
Ameandika hivi :
"Anyways,wewe kama mtanzania unaonaje hizi swagga mpya za Diamona
kusafiri au kufatwa nyuma na kundi la watu wakiwemo mameneja wake,
ndugu,mpiga picha, etc….
Kwa maoni yangu naona kama mameneja wake wanampoteza tu. Itakuwa
kaambiwa akitaka kuonekana ni big star basi lazma awe anafatwa nyuma na
kundi la watu everywhere he goes.,,,,,
Nimemuelewa kidogo sababu labda kaona mastaa wakubwa wakubwa duniani
huwa wanakuwaga na entourage kubwa ya watu ila jamani they can afford
kuwa na watu wote wale… Some of them make over 10million dollars a year
sasa kulipa watu wote hao kumfata fata ni pocket change kwake. Tayari
wana utajiri ambao hata wajukuu zao watakuja kuukuta ,wana majumba in
every city wengine mpaka Palm Jumeirah Dubai wana mavacation home sasa
huyu kijana wetu ambae mpaka leo bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga
kwanini analipa watu kumfata fata nyuma hivi? wakati it’s very
unnecessary"
Je wewe unaonaje kuhusu Hili Swala?