BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

dark master 4
Siku mbaya sana kwenye Muziki Wa Bongo Fleva baada ya Msanii wa Chamber Squard Mez B Kufariki Ijumaa ya Tarehe 20 February Mwaka 2015 ikiwa ni Tarehe ambayo imemuongezea Dark Master Uchungu zaidi.
Mez B alikuwa ni Mmoja kati ya Wasanii watatu Waliobaki wakiunda Kundi la Chamber Squard baada ya Msiba wa Albert Mangwea Miaka Miwili iliyopita. @DjHaazu Kutoka @MamboJamboRadio Ameongea na Dark Master ambapo Jamaa Amethibitisha jinsi Ambavyo Muziki Unavyozidi Kuwa Mgumu kwake haswa akikumbuka Kuwa Amebaki yeye na Noorah Tu ambao wanaunda Chamber Squard.
PATA NAFASI YA KUMSIKILIZA DARK MASTER KWA KU-CLICK LINK HII>>>  DUNDO – DARK MASTER KUHUSU MEZ B BY @DJHAAZU