BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Mez-B1Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.

Akizungumza na DjHaazu Mama yake Mez B amesema Mez b amefariki Mapema leo saa Nne Asubuhi nyumbani kwao huko Dodoma.

Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na Juzi juzi Alilazwa kwa takribani Siku 8 na baadae Aliruhusiwa na Madaktari wakampa moyo kuwa Atarudi katika hali yake ya Kawaida.

Vingine alivyovizungumzia Mama Mzazi wa Mez B Ni Pamoja na Kuwa Mez B Hakuwahi Kufanikiwa Kupata Mtoto.

TUMIA DAKIKA ZAKO 3 KUMSIKILIZA MAMA MZAZI WA MEZ B KWA KU-CLICK LINK HII >>>> DUNDO - MAMA YAKE MEZ B AZUNGUMZIA KIFO CHA MWANAYE BY @DJHAAZU