BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Hii ni story mpya kutoka Zimbabwe inayomhusu raisi wa nchi hiyo Robert Mugabe. Juzi juzi alichukua headline baada ya kudondoka chini na picha zake kusambaa mtandaoni jambo lililosababisha wafanyakazi wake zaidi ya 25 wanaohusika na kumlinda kupoteza vibarua vyao.

Unaweza Soma : Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!

Kesho Raisi huyo mkongwe zaidi Afrika anatimiza miaka 91 toka azaliwe na kubwa zaidi ni gharama zitazotumika kuandaa sherehe hiyo. Kwa mujibu wa msemaji wa Zanu PF chama anachotokea rais Mugabe ni kua dola za kimarekani millioni moja zitatumika katika maandalizi ya sherehe hizo. Pesa hizo ni zaidi ya billioni 1,849,150,000.

Unaweza Soma : PICHA: MASTAA WA BONGO WAKIWA NA WATOTO WAO.. CHECK HAPA!!

Tongai Kasukuwere afisa kutoka Zanu PF aliwaambia waandishi wa habari kua " Tumeshakusanya zaidi ya nusu ya pesa inayohitajika na kuna baadhi ya watu binafsi na makampuni yameahidi kuchangia kufanikisha sherehe hii. Kwetu sisi kama vijana wa Zanu PF huu ni wakati mzuri wa kusherehekea mambo makubwa aliyoyafanya Mugabe kwa Afrika na Dunia kwa Ujumla"

Ikumbukwe kua Mugabe ni raisi wa Zimbabwe tangu nchi hiyo ilipopata uhuru  mwaka 1980.

Unaweza Soma : Tazama Matokeo ya Kidato cha Nne 2014 hapa LINK 1