BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

1TUNDAMANMKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.
kupitia kipindi cha Mtu Kati, Tunda alisema kuwa hafikirii hata mara moja kama atakuja kutoka kimapenzi na staa huyo kwa kuwa watakuwa wanapishana kwenye baadhi ya mambo.
“Wema ni rafiki yangu kama walivyo marafiki wengine lakini kitu kikubwa sitamani kabisa aje kuwa mpenzi wangu kwa sababu tutakuwa tunapishana katika baadhi ya mambo na hizi ngumi ninazocheza nahisi nitampiga mpaka nitauwa,” alisema Tunda Man.