Jana kulikuwa na Game ya Basket Ball katika usiku wa mastaa wa U.S.A katika event ambayo iliandaliwa na POWER 106 na kuitwa All-Star Celebrity Charity Basketball Game,
Katika Game iyo Chriss Brown na demu wake walikuwa kivutio kikubwa sana. katika usiku uwo hasa baada ya team ya Chriss kuibuka kidedea katika game iyo.