BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Bow Wow ambaye kwa jina la kiserikali anajulikana kama Shed Moss ametangaza ndoa kwa mrembo anaejulikana kwa jina la Erica Mena,Bow Wow alipost picha za mkono wake na Erica ukiwa na pete na baadaye katika Red carpet ya 2014 BET Hip-Hop Awards akihojiwa na mtangazaji wa This is 50.com Erica Mena alisema ni yeye ni mchumba wa Bow Wow huku akionesha pete ya uchumba aliovalishwa na Bow Wow.<iframe width="560" height="315" src="//www.youtube.com/embed/2HqNI7tRKio" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>