Home
»
» Unlabelled
» MWANAMUZIKI NNEKA WA NIGERIA APIGANIA USAWA WA KIJINSIA KUPITIA MUZIKI
Katika mfululizo wa Makala za Benki ya Dunia kuhusu muziki kwa ajili ya
maendeleo, tunakutana na nyota wa Nigeria, Nneka, ambaye ana uraia wa
Nigeria na Ujerumani. Nneka, kama wanamuziki wenzake kutoka barani
Afrika, wamejiunga katika mchakato wa Benki ya Dunia wa kutumia muziki
kuchagiza mabadiliko na kuleta maendeleo.Katika Makala hii, Joshua Mmali
anatumegea kidogo kuhusu ushiriki wa Nneka katika mchakato huu