Home
»
» Unlabelled
» BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa
Mwasenge, Jimbo la Musoma Mjini. Katika hotuba yake aliwaomba wanaMusoma
kuichagua CCM ili iweze kuunda Serikali kwani imepanga kuboresha huduma
mbalimbali za kijamii pamoja na ujenzi wa miundombinu eneo hilo
itakayochangia kukua kwa biashara anuai. Alisema Serikali
itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya
meli (magati) Musoma na ndani ya miezi mitatu huduma ya maji maeneo
mbalimbali itapatikana kwa uhakika kutokana na kukamilika kwa mradi wa
maji eneo hilo. Aliongeza pia ili kuboresha huduma za Mwisenge zahanati
ya eneo hilo itabadilishwa mara moja na kuwa kituo cha afya.
|
|
Kulia
ni baadhi ya wasanii maharufu wa uigizaji wakishangilia wakati Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa
akiwasili katika viwanja vya Mwisenge. |
|
Baadhi
ya wanaCCM na wananchi wa Sirari wakifikisha ujumbe wao kwa Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
alipohutubia wananchi katika viwanja vya Tarafa Sirari. |
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia Mgombea mwenza wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia
Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan
akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime, Rashid Bugomba
alipowasili Sirari kwa mkutano wa kampeni kuinadi CCM eneo hilo.. |
|
Wananchi
wakimsikiliza mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia wananchi Kata ya Sirari |
|
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (katikati)
akiwatambulisha baadhi ya wagombea ubunge wa Wilaya ya Tarime kwenye
Mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Sirari. |
|
Ni mwendo wa 'PUSH UP' baadhi ya wananchi wakipiga 'Push Up' kwenye mkutano wa mgombea mwenza Sirari kuonesha kuwa wapo 'fit'. |
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia Mgombea mwenza wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia
Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi wakimshangilia Mgombea mwenza wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia
Mwisenge, Musoma Mjini. |
|
Wananchi wakisikiliza hotuba ya baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Musoma. |
|
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Viwanja vya Mwisenge. |
|
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Viwanja vya Mwisenge. |
|
Aliyekuwa mbunge wa CCM, Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wananchi katika viwanja vya Mwisenge. |
|
Baadhi
ya wasanii wa Bongo Movie na wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara
wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Viwanja vya Mwisenge. |