BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Lile sakata la picha zisizo za maadili za Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,Shilole  alizopigwa nchini Ubelgiji akiwa kwenye shoo yake zimejadiliwa bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni na Michezo,Juma Nkamia aliamua kuomba radhi jana kwa niaba ya serikali kufuatia kitendo cha msanii huyo kuvaa nguo zisizo za maadili jukwaani.
Hivi karibuni baadhi ya picha za msanii huyo zilizagaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa jukwaani amevaa mavazi ambayo yanamuonyesha sehemu kubwa ya maungo yake.
Hata hivyo baada ya picha hizo kuzagaa Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) lilitoa tamko kulaani kitendo hicho na kumtaka msanii huyo kutoa maelezo.
Baada ya taarifa hizo kutolewa bungeni BASATA ilimuandikia barua Shilole ili ajieleze kuhusiana na tukio hilo,Shilole akizungumzia tukio hilo alikiri kupigiwa simu na BASATA na ameomba radhi watanzania kutokana na tukio hilo.

Cloudsfm.com