Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies,  Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.
Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....
Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata makuliko ya Likes na Comments.

Jionee picha hizi hapa chini. 
Top