Staa wa Bongo Fleva aliefanikiwa kutoboa kimataifa, Diamond Platnumz ametua mjini London, uigereza kwa aajili ya show yake itakayofanyika usiku wa leo jijini humo kwenye ukumbi wa
The Royal Regency.
Hapo jana staa huyu alitembelea kituo cha kimataifa ya utangazaji, BBC na kufanya mahojiano.
Kila la kheri Diamond.