Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi video ya kazi mpya inayokwenda kwa jina la Chungu Cha Tatuakiwa na Staa mwnzake, Jacob Stephen 'JB'.
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo HAPA
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo HAPA