"Itatokea kwa iman yny uvumiliv wa waz maana unaeza jizuia kwnda haja lkn sio kujizuia kumpenda mtu alitunukiwa ndan ya moyo wako na nafs ikamkubali...ni rahisi sana kuwa tayar kwa lolote sbb chaguo la moyo ni chaguo la furaha na faraja ya maisha...kumpenda @ireneuwoya8 ni ugonjwa wangu na sijui kama ntapona sababu sina mpango wa kutafuta matibabu ni mie na yeye na yeye na mimi". Vjay mapenzi aliwahi kuandika hivi mtandaoni 
Top