BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???



Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha  Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu.

"Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio nao?!

Hawa jamaa wanajua sana promo, hii yote ni promo ya nyimbo yao ya  'Mapenzi Au Pesa'