http://2.bp.blogspot.com/-9twxBfTmNpI/VSAVrOP538I/AAAAAAAArTE/5byRd1cgWEw/s1600/staa%2Bwa%2Bkujichubua.jpgList ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol

amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
 
Top