Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili
“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali
kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane
jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache
tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.