Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii
Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS FAME,
Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman
Wakuache....sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi..