BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???





Mkazi wa Kigogo Fresh-Chanika Bi. Mazoea Kombo (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia Serengeti kanda ya Chanika Bw. Tesha Stanslaus (Kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Bi. Mazoea aliimwagia sifa bia hiyo kuwa ni laini na haimchoshi.




Mkazi wa Chanika Kay Christopher akipokea zawadi yake ya fulana kutoka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Chanika Tesha Stanslaus (Kulia) wakati wa kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwa mara ya pili kwenye Kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli kiwanjani. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash




Mkazi wa Segerea na mteja wa bia ya Tusker Bw. Nelson Ruta akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Friends ya Segerea jijini Dar es salaam ambayo ilitangazwa kuwa baa ya wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo inaendeshwa kwa udhamini wa bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti.







Mkazi wa Majohe Dotto Ramadhani akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Chanika Tesha Stanslaus wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Check point ya Chanika jijini Dar es salaam ambapo promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilifunga kambi katika baa hiyo na kuipongeza kwa kuibuka baa ya wiki kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha Kampeni hiyo ya bia ya Tusker.




Mkazi wa Kinyerezi na mpenzi wa bia ya Tusker Zack Ngaweleja (kulia) akiifurahia zawadi yake ya T-shirt aliyokabidhiwa na balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (katikati) wakati ambapo promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilipofunga kambi karibu na baa yake ya mtaani “Friends Pub” iliyopo Segerea jijini Dar es salaam. Baa hiyo ilitangazwa kuwa baa ya wiki kwenye Kampeni inayoendelea ya “Tusker Fanyakweli” inayoendeshwa na bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo Gadner Habash.




Balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (kushoto) akikabidhi zawadi ya fulana kwa mpenzi wa bia ya Tusker aliyefahamika kwa jina la Emmy Machupa (29) (katikati) wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya “Friends” iliyopo Segerea jijini Dar es salaam ambayo iliibuka baa ya wiki kwenye promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti. (kulia) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo na Mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio E-fm, Gadner Habash.