BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Staa wa Bongo Movies  Wema Sepetu ameamaua kuwachana wazi wazi waandaaji wa Instagram Party kwa kitendo chao cha kutomlipa pesa  hadi sasa hivi staa mwenzake Mzee Majuto.
Waandaaji wa Instagram party sijawapenda kiukweli. Mpaka nimefkia hatua ya kuandika basi mjue kuwa mmenikwaza. Mlikuja kwangu na mkaniomba niwatafutie Huyu Mzee wa watu... Kwa moyo mmoja nilifanya hivyo, Iweje leo hii kashamaliza kazi msitake kumlipa hela yake... Baba wa watu katoka Tanga na nauli yake, mpaka hotel kajilipia mwenyewe.... Mimi sipendi lawama jamani... Sana sana ikiwa ni kwa wasanii wenzangu.
 Sasa hivi naonekana mbaya mimi maana mimi ndo niliewaunganisha na huyu Baba wa watu... Hawawajui nyie ananijua mimi.
Na kaja kwa heshima yangu.... Hizo ni dhulma na sio vizuri kumfanyia hivyo Mzee wa watu. Namuheshimu sana na siwezi kumkosea heshima kiasi hicho... Ila hakuna neno tumwachie Mungu sio..... @instagrampartytz @instagrampartytz ... Kiukweli siwezi kuja kufanya kazi na watu kama nyie at all.... You are nat Loyal..... Plz repost it.....
Wema ameandika huyo kwenye ukurasa wake tandao na kuwahamasisha followers wake zaidi ya laki sita wasambaze andiko hilo.
Wema na Mzee Majuto ni miongoni mwa mastaa washiriki kusheheresha sherehe hizo zilizofanyika wiki iliyopita, kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama, jiji Dar es salaam.
Mzee wa Ubuyu