Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu
10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali
ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso mkoani Shinyanga leo.
Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendelea
Winchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo.
CHANZO: MICHUZI BLOG
CHANZO: MICHUZI BLOG