Mez-B1Akiongea Na Kipindi cha Dundo cha @MamboJamboRadio Kinachoendeshwa na @DjHaazu na @MwakaD25 Prof. J amesema kuwa Mez b alikuwa kama Mdogo wake na ndio Maana Aliishi naye Nyumbani kwake na siri Kubwa ambayo Mez B alimpa Akitambua ni Kaka Yake ni Kwamba ameyatambua Makosa yake aliyowahi Kuyatenda Nyuma.

Tumia Dakika Zako 5 Kumsikiliza Professor J na Siri zote na ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Mez B. kwa Ku-Click Link Hii Hapa>>>>>. DUNDO - PROF. J AELEZEA MANENO YA MWISHO YA MEZ B KWAKE BY @DJHAAZU
 
Top