Bongo Deco ni duka la vifaa vya umeme kama TV, Home Theater, Friji aina mbalimbali na vingine vingi. Wapo Dar Es Salaam Magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa. Kila bidhaa yao ina warranty na kikubwa zaidi ukinunua bidhaa kwao utapata usafiri bure hadi kwako. Wapigie 0658 18 47 97 au wafollow katika page yao ya Instagram @Bongodeco kuona bidhaa zao zote.

Zifuatazo ni bei za friji na picha zake

 Kupitia Bongo Deco unaweza pata friji kutoka makampuni ya Beko, Boss, Von HotPoint, Lg, MoElectro na mengine mengi. Hizi ni baadhi ya Friji zikiwa zmewafikia wateja wetu.

Tupigie 0658 18 47 97 kuweka order yako.
Next
This is the most recent post.
Previkkkous
Older Post
 
Top