
Sasa zamu hii mambo yamemgukia , hii ni baada ya mti asiefahamika kufungua akaunti Instagram na kutumia jina la mama Wema. Kama unavyojua dunia haina siri taarifa zikamfikia na akaamua moja kwa moja kumpigia Wema ambae kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini.
Katika maongezi hayo mama Wema alisema kua kama kwei huyo mtu aliefungua hiyo akaunti anajiamini basi ajitokeze wapigane mshindi ajulikane. Unaweza mskia mama Wema katika video hii hapa chini.