Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond anatoka na msichana huyo Toka Mwaka jana.

Sasa huko instagram kumekua na ubishani mkubwa kuhusu nani ni mrembo zaidi kati ya Zari na Irene. Kwa muono wa macho yangu naona Irene aka Bi mdogo ndio mrembo kuliko hata Zari. Hebu tazama video yake hapa kisha niambie nani mrembo zaidi kati ya ZAri na Irene....
 
Top