BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Diamond PlatnumzKwa wakazi wa Dar na mikoa ya pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza  mitaa mingi ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au bajaji wakipiga singeli.

Japo haupigwi sana katika vituo vingi vya radio ila watu wengi waukubali sana. Siku chache zilizopita msanii Diamond Platnumz aliandaa party nyumbani kwake ya kumkaribisha msanii mwenzake Rich Mavoko katika Label ya WCB. Na katika party hiyo Diamond alionekana akicheza kwa furaha mziki aina ya kisingeli kama ambavyo utaona katika video hii hapa chini....