Siku za hivi karibuni Wema amekua akiandamwa na kashfa ya kuongeza makalio, jambo ambalo limemchafulia sana sifa yake kwa jamii. Lakini baada yakumuona Wema Sepetu nguo aliyokua kavaa siku anazindua App yake nligundua kua sio kwamba anaongeza makalio bali ni aina ya nguo anazovaa ndio znamfanya anakua na umbo baya.

Siku hiyo Wema aliva nguo ya kitenge iliyoshonwa kwa ustadi mkubwa kwani ilimkaa vizuri na chini alivaa sketi fupi ambayo ilimpendeza zaidi. Ningependa kumshauri Wema Sepetu kua nguo za aina hii ndio zinazompendeza zaidi kuliko kuvaa nguo nyingi ambazo hazieleweki. Unaweza tazama video yake hapa chini.....

 
Top