BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Itakumbukwa kua wiki chache zilizopita video ya msanii Diamond ikionyesha akiwa katoboa pua ilisambaa na kusababisha watu wengi kumlalamikia kua kitendo hicho hakileti picha nzuri kwa jamii hasa ukizingatia kua yeye ni msanii mkubwa.

Ila sio wote waliochukizwa na jamba hilo, wapo waliomtetea wakisema yale ni maisha yake na ni ruksa kufanya jambo lolote lile analoamua. Sasa ikiwa ishu ya pua haijasahaulika sasa Diamond ameamua kuweka meno ya dhahabu akiwa nchini Marekani.

Diamond kupitia mtandao mmoja aliupload video kadhaa zikimwonyesha akiwa na meno hayo ya Dhahabu. Unaweza kumtazama Diamond akiwa na meno hayo hapa chini....