Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC Fm akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana ikiwemo kuvuja kwa wimbo wake, video ya wimbo huo wa Aje pamoja na dili lake la Sony.

Ikafika kipindi D Jaro akamuuliza ni wimbo gani wa Diamond alikiba anapenda kuusikiliza, japo kulitokea ubishani kidogo ila Ali Kiba alijibu swali hilo kwa kusema hayaaaa, tizama video hapa chini

 
Top