BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

http://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2016/02/nay2.jpgKatika kusherehekea birthday yake mwaka jana, msanii Nay Wa Mitego alihamia katika nyumba yake mpya ya Kimara huku akijizawadia gari mpyaaaa. Habari hiyo ilikua gumzo sana magazetini na mitandaoni kwani nyumba hiyo ilikua ya kisasa kabisa.

Tarehe 9 mwezi huu Nay Wa Mitego atasherehekea siku yake ya kuzaliwa na moja kati ya maswali yaliyokua yakimuumiza zaidi ni zawadi gani ajipatie kati ya kujinunulia gari au kuhamia katika nyumba yake kubwa ya ghorofa ambayo haijaisha vizuri???

Na baada ya kujiuliza sana msanii huyo ameamua kujizawadia gari aina ya Range Rover Vogue ambayo kwa maelezo yake anasema ni moja ya gari alizokua akitamani kumiliki. Lakini Nay kaunguka kua anaogopa kutangaza gari hiyo kwa sababu anamwogopa kiongozi huyu wa Serikali. Unataka kumjua ni nani??? Basi cheki video hii hapa chini Nay akifunguka...