Msanii @diamondplatnumz na familia nzima ya @wcb_wasafi walifika ofsini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe @paulmakonda leo hii na kumkabidhi madawati 600 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Dar es salaam,ambayo yataweza kusaidia wanafunzi 1800 kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kupata elimu vizuri, kwingineko endelea kumpigia Diamond Platnumz Kura Kwenye tuzo za BET kwa kubonyeza link Kwenye bio yake @diamondplatnumz.


 


Wema Sepetu akila bata la nguvu katika show ya miaka 10 ya Christian Bella 
 
 
Top