http://tanzaniamoja.com/wp-content/uploads/2016/02/wema-sepetu-wema-sepetu-in-my-sh-2-365x235.jpgWiki hii imekua ni wiki mbaya kidogo kwa msanii Harmonize kutoka WCB, mara baada ya video moja kusambaa sana mitandaoni ikimwonyesha akimtukana mwanadada Wema Sepetu. Ukweli ni kua Wema ameumizwa sana na video ile hadi kuenea kwa habari ambazo hazijathibitishwa kua kamfungulia kesi Harmonize.

Ambacho Harmonize hakujua ni kua Wema ni shabiki wake mkubwa kwani ni zaidi ya mara moja wema ameonekana akiimba wimbo wa msanii huyo. Na kitendo cha Wema kuona video ile kunaweza kufanya akaacha kua shabiki wa Harmonize. Unaweza tazama video ya Wema Sepetu na Martin Kadinda wakiimba wimbo wa Harmonize hapa chini
 
Top