Ukitaja orodha ya wasanii wa Bongo ambao wanasemwa au kuandikwa na magazeti vibaya basi hutaacha kumtaja Wema Sepetu. Kwa mwaka huu tu keshaandikwa na stori nyingi sana ila kubwa zaidi ni kuhusu habari yake ya kubeba mimba ya mapacha  na kisha kudaiwa kutoka.

Baada ya kuenea habari hizo za mimba kutoka wengi waliongea huku wengi wakimsema kwa mabaya. Maneno hayo yalimfikia mama mzazi wa Wema na kuamua kuwafungukia kwa kuwachana na kuwalaani wale wote wanaomsema vibaya mtoto wake.

Hapa chini nimeweka video ambayo mama Wema ameongea mengi na kubwa zaidi amewalaani wote wanaomsema vibaya mtoto wake. Tazama video hapa chini

 
Top