
Tangu msala wa Lulu kuisha na kuruhusiwa kurudi uraiani mwanadada huyu mara kwa mara ameonekana kumrudia Mungu, kwani taarifa kutoka kwa ndugu zake wa karibu zimethibitisha kua kwa sasa ni muhudhuriaji mzuri sana wa misa kila Jumapili.
Ni kweli kua wengi wamemjua Lulu kupitia fani ya uigizaji ila ni wachache sana wanajua kua Lulu pia ni mwimbaji mzuri sana wa nyimbo za Injili. Inadaiwa hiyo imechangiwa sana na Lulu kua muumini mzuri Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Lulu aliweka video akiimba nyimbo hizo kwa ustawi mkubwa sana. Unaweza mskia akiimba kwa kutazama video hii hapa chini....