Ni siku chache zimepita tangu Wema Sepetu azindue huduma yake ya Wema Sepetu Mobile Application, wengi walimpongeza sana katika hatua hiyo kubwa. Katika sherehe za ufunguzi huo Wema Sepetu alitoa hotuba nzuri sana huku ikifuatiwa na maelezo kwa urefu zaidi kuhusu huduma hiyo. Unaweza tazama video hiyo hapa chini