http://naibuzz.com/wp-content/uploads/2016/03/Diamond-platnumz.jpgDiamond ni mmojakati ya mastar wakubwa wanaojulikana Afrika wakitokea hapa hapa kwetu Bongo. Ukiacha mziki ambao umemfungulia milango na kumpa mkwanja alionao, Diamond Platnumz anafahamika kwa kula madem wengi tu hapa Bongo huku asilimia kubwa wakiwa ni maarufu.

Lakini wanasema kila mjanja ana mjanja wake, je wajua kua Diamond alishawahi kutaka kujiua kisa katoswa na demu??? Basi bana jibu ni ndio na Diamond kafunguka kupitia video hii hapa chini, mskilize......
 
Top