BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXk3YbyCpF6ETW2ggMx9QKDhuloZx_ev28cBlG4vNq9GCnNi-8skJVypIHVtJ108KTxqd7f6uHiw6Cq7o-BfmFeZdQOGqL6Az_jJ9zX8RUApqAnuTnxinSNyE8wxBMLxmt6_mBf9wSMj0/s1600/hamissa21.JPGLulu na Majay ni couple ya watu wawili maarufu hapa Bongo, ilianza kama tetesi mwanzoni ila Lulu akaja kufunguka mwenyewe kua wao ni wapenzi. Ila ikumbukwe kua Majay kabla ya kua na Lulu alikua na uhusiano wa Kimapenzi na Hamisa Mobeto. Hadi kupelekea kupata mtoto wa kike.

Habari zilizozagaa mtaani ni kua Lulu alimwiba Majay kwa Hamisa Mobetto. Ila kwa kipindi kilefu Lulu alikua hajasema lolote kuhusiana na hilo. Hatimae lulu kafunguka ukweli kuhusiana na yeye kumwibia bwana Hamisa, mskilize hapa chini .....